mkuu pxe inamaanisha unaboot na network, hapo kuna mambo mawili
1. HDD yako imeharibika au haisomi hivyo windows inachagua network baada ya kuikosa HDD
2. Boot order kwenye Bios umeset Network iwe ya kwanza kabla ya HDD.
cha kufanya hapo jaribu kwanza kurudi kwenye bios kisha angalia boot order ya kwanza ni HDD?
kama ni HDD jaribu kuitoa hio HDD ieke kwenye case then itest kwenye mashine nyengine kama ni nzima.
alternative tumia bootable flash yenye os hata ndogo kama distro za linux kucheki kama ni nzima hio HDD
kuna tool pia kama minitool partition wizard wana bootable software unaweza ukaieka kwenye flash badala ya hizo linux distro