Kaka mwisho
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 409
- 182
Sababu gani zidumu? Battery si lile lile?Zinabadilishika kwani battery zake zipo madukani,kwahiyo hakuna tatizo lolote pia hizi zinadumu sana na chaji kuliko removable tulizozizoeaga.
Hivi inawezekana ukabadilishs battery pindi battery likianza kuwa dhaifu au kufa kabsa.?
Utaratibu wakubadilisha battery ni mwepesi au mpaka uende center za kampuni zao za simu.?
Kati ya Non Removable Battery na Removable Battery unashauri mtu anunue simu IPI.?
Umenisaidi katika hili la kuangalia video. ShukraniNitakujibu kwa uzoefu wangu,kama kuna kosa nirekebishwe: zinabadilishika,kuna mafundi simu Wana uwezo wa kubadilisha, swali lako la pili ni kwamba simu ambazo ni nonremovable, battery zake zinadumu sana mradi tu ukijua masharti ya utunzaji wa battery,sharti linalowashinda watumiaji wengi wa simu kwenye utunzaji wa battery isife haraka ni "usiangalie video kwenye simu yako ikiwa inachajiwa, battery ya simu yako itafupishwa maisha yake mapema"
Fairphone battery zinatoka.Kwani bado kuna smartphone haZina hizi betrii?
Fairphone battery zinatoka.
G10 haina issue mkuu, angalau Nokia 3.4 ni simu nzuri (300,000) kama unapenda hizo simu.Nichukue simu ipi kati ya hizi
Inifinix Hot 10 play (270000) vs Nokia G10 (335000) zote ni non removable battery.
PaMoja sana.Umenisaidi katika hili la kuangalia video. Shukrani