"Non-Celebrity" anatafuta mchumba.....

Jamani lukansola ushanikimbizia hivyo, nakwambia nitakuganda wewe shauri lako

nakukaribisha kwa mikono yote Maty, achana na huyo ataku-lostisha hebu angalia track record yake.

Join Date : 4th April 2011
Posts : 2
Thanks 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power : 0

haya sasa uamuzi ni wako dia
 
Habari zenu wanaJF wa MMU!

Mimi ndiye niliyemuomba MpigaKelele atangaze nia yangu ya kutafuta mchumba hapa, na nikamuomba pia aweke sifa za msichana anayetaka kuchumbiwa na mimi. Jamani msimsakame MpigaKelele. Hiyo posti no# 9 nimeigoga mimi MpigaKelele alisahau kulog out aliponiachia PC yake nifungue akaunti ya JF.
Yaani mtu muongo utamjua tu utatumiaje ID ya MpigaKelele kugonga kitufe cha LIKE wakati wewe ID yako ni ya Non-Celebrity na hapo kitufe cha LIKE kimeonyesha ID yako ya Non-Celebrity you think you are smart eheee
 
Jamani lukansola ushanikimbizia hivyo, nakwambia nitakuganda wewe shauri lako

nakukaribisha kwa mikono yote Maty, achana na huyo ataku-lostisha hebu angalia track record yake.

Join Date : 4th April 2011
Posts : 2
Thanks 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power : 0

haya sasa uamuzi ni wako dia
 
"Kufungua" nilimaanisha kuji"REGISTER"...Chunguza ID yangu kama sijaingia leo JF

Swali dogo tu: Ulishawahi kutumia JF siku za nyuma? Maana unaonekana si mgeni wa kuitumia, hata mimi niliyejiunga kabla yako sina utaalamu huo ulionao.
 
Tatizo langu sikusoma vizuri sheria za JF, pia hata terminologies zinazotumika humu nitofauti na nilivyokuwa nazifahamu.
WanaJF naomba mnipe muda nikasome vizuri sheria hizi na jinsi mnavyotumia haya manano"terminologies".
Samahani sana kwa kuwakwaza. Nitarudi Jumatatu nyingine nikiwa nimeelewa vya MMU inavyotumiwa. Ahsanteni
 
@afrodenzi: mwanzoni kabisa ulisema hunitaki, sasa mbona unanizibia kwa wengine?

Khaaa
jamani wewe
nomekuzibia
Kivipi tena?
mbona sija Mkataza mtu yeyote
Aende out na weye..

Ni we binafsi
Umejizibia
ridhiki yako kwa
kumuomba mtu
mwingine akusaidie kukutongozea..

Usema ukweli wasichana wengi
watakudharau kwa hilo..
 
Tatizo langu sikusoma vizuri sheria za JF, pia hata terminologies zinazotumika humu nitofauti na nilivyokuwa nazifahamu.
WanaJF naomba mnipe muda nikasome vizuri sheria hizi na jinsi mnavyotumia haya manano"terminologies".
Samahani sana kwa kuwakwaza. Nitarudi Jumatatu nyingine nikiwa nimeelewa vya MMU inavyotumiwa. Ahsanteni
:bored::bored:
 
Haya nenda kasome, ila kama unatu-cheat tutakugundua tu, remember, this is the 'home of great thinkers'
 
THE FINEST & LUNKANSOLA
Hongereni kwa kupata PHD ya u lawyer
Hahahah lol..
dahhh nyie mnaweza mfunga mtu hivi hivi lol
 
Yaani mtu muongo utamjua tu utatumiaje ID ya MpigaKelele kugonga kitufe cha LIKE wakati wewe ID yako ni ya Non-Celebrity na hapo kitufe cha LIKE kimeonyesha ID yako ya Non-Celebrity you think you are smart eheee

Hahaha the finest bana unakaba mpaka mwisho we ni noma asee lol
 
nakukaribisha kwa mikono yote Maty, achana na huyo ataku-lostisha hebu angalia track record yake.

Join Date : 4th April 2011
Posts : 2
Thanks 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power : 0

haya sasa uamuzi ni wako dia

Asante my dia yaani huyu alitaka kunipiga changa la macho mwe!
 
Hehehehe afro mubaya wewe yule ulonitafutia akininunulia chungwa anakuja nidai pesa nimrudishie mwenzangu yamenishinda

Hahahahahahahah
Maty kweli we hufai
Daahh nilivyocheka
Mpaka watu wanishangaa
Kazini daahh hii kali

Sasa
Na ubishololo
wote ule kumbe
Mfukoni giza tupu
dahhh
samahani mpenzi.
hahahahahahahah lol
 
Hahahahahahahah
Maty kweli we hufai
Daahh nilivyocheka
Mpaka watu wanishangaa
Kazini daahh hii kali

Sasa
Na ubishololo
wote ule kumbe
Mfukoni giza tupu
dahhh
samahani mpenzi.
hahahahahahahah lol

Ama kweli maskini hana chake. Tusio na kitu tusitegemee kupata wenza kutoka nyumba hii.
 
Kwahiyo hapa mnajadili namna ambayo Mbwatuka kelele anyotaka kumbashia Asiye Selebriti au mjadala unahus ID mbili?

Babu ako konfyuzdi

Ngoja nami nikafungue ID ya nane.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom