TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,472
- 28,335
kwanin amekua na NOTION YA NON CREBRITY?
WHATS UP?
km wakawaida angeanza na iyo non cersbrty?
atampata......atampata toka hollywood .
angeandka kawaida tu sasa vkorombwezo vya m non crbrty vnaleta tashiwshw nyng
Not interest
Siwezi kumdate
mwanaume ambaye
hana mbavu Za kuja hapa
Na kuomba mwenyewe...
Jamani hii ni
Computer
kama anaogopa kuja
Hapa na kuomba mwenye
Je anaweza kuongea na wewe personal?
Haya ni madharau..
na sifa zake ziko wapi?
Oooo he is just to good?
Amesema anaweza kuongea kama umekidhi vigezo.
kwa nini usiseme ni wewe kwani nani anakuona kwenye hizi keyboards?.......
mimi nina miaka 45 atanipenda?
Bahati mbaya ameishaondoka nilikuwanaye hapa ningemuuliza swali lako pia, Ila nadhani Kukupenda au kutokukupenda itategemea mtakavyoelewana mtakavyokutana.
Yeye anajiita "Non-Celebrity" akiwa na maana kuwa yeye sio mtu maarufu. Ameniomba nimuwekee hadharani nia yake ya kutafuta mchumba katika jamvi la WanaJF. Kwa kifupi amesema yeye anafanya kazi ambayo inamuwezesha na itaendelea kumuwezesha kukidhi mahitaji yake na ya wale wote wanao na watakaokuwa wanamtegemea.
Masharti yake kwa mchumba anayemuhitaji ni haya yafuatayo:
1. Awe muungwana pia awe na utu wa kujali wengine,
2.Awe mcha Mungu,
3.Awe na heshima kwa wakubwa na wadogo,
4.Awe amejiridhisha kuwa ni msichana asiyependa makuu na mrembo mbele ya wacha Mungu,
5.Awe tayari kuwa mwaminifu katika maisha yake yote kwa Non-Celebrity kama Non-Celebrity atakavyokuwa mwaminifu kwake pia,
5.1 Awe tayari kifikra kukabiliana na hali atayomkutanayo Non-Celebrity, na
6.Awe tayari kuishi maisha ya Kikristo.
Kwa maelezo zaidi unaweza kunitumia sms kupitia JF kwa kutumia " my username MpigaKelele"
Non-Celebrity=MpigaKelele
Ahaaa ahaaaa huyu ana ID mbili na thanks anajigongea mwenyewe yaani anaanzisha thread kwa ID nyingine halafu anagonga thanks kwa ID nyingine dah kazi kweli kweli hebu angalia post namba 9 yaani ametumia ID nyingine kugonga kitufe cha LIKE wakati ni mtu huyo huyoMmhhh
I'm confuse d. .....
A little help..
kwa nini usiseme ni wewe kwani nani anakuona kwenye hizi keyboards?.......
mimi nina miaka 45 atanipenda?
Ahaaa ahaaaa huyu ana ID mbili na thanks anajigongea mwenyewe yaani anaanzisha thread kwa ID nyingine halafu anagonga thanks kwa ID nyingine dah kazi kweli kweli hebu angalia post namba 9 yaani ametumia ID nyingine kugonga kitufe cha LIKE wakati ni mtu huyo huyo
Nimecheka mpaka basi l.o.lhahahahahahah kweli
unavichekesho
jinsi unavyoongea ni kama unauza
maharage sokoni ....
im out.
Ndio zao hizoHuu ni
Ulaghai
JF inapoteza maana
Mtu kujingongea senks mwenyewe
Ndo mautumbo gani hayo hizo senks na likes
Zinapoteza umuhimu na maana zake..
Habari zenu wanaJF wa MMU!
Mimi ndiye niliyemuomba MpigaKelele atangaze nia yangu ya kutafuta mchumba hapa, na nikamuomba pia aweke sifa za msichana anayetaka kuchumbiwa na mimi. Jamani msimsakame MpigaKelele. Hiyo posti no# 9 nimeigoga mimi MpigaKelele alisahau kulog out aliponiachia PC yake nifungue akaunti ya JF.
Ahaaa ahaaaa huyu ana ID mbili na thanks anajigongea mwenyewe yaani anaanzisha thread kwa ID nyingine halafu anagonga thanks kwa ID nyingine dah kazi kweli kweli hebu angalia post namba 9 yaani ametumia ID nyingine kugonga kitufe cha LIKE wakati ni mtu huyo huyo