Lakikunene
Senior Member
- Jul 18, 2017
- 129
- 145
Hakuwa mpenz wako uyo na ndio maaana alikuficha na ushukuru amekionea huruma ya bila kukubebesha hiyo mimbaHabari za siku mdau..,Nilikuwa na mpenzi wangu tuliodumu zaidi ya Mwaka1 lakini mpenzi wangu huyo alinificha kuwa ana mimba ya mtu mwingine hivi majuzi nikaja kugundua na kuamua kuvunja uhusiano na yeye kuridhia kwakuwa nilikuwa nimeujua ukweli wote..,lakini kinachoniuma ni kwamba anapenda mno kuview Status zangu je nimblock maana bado ka roho kananiuma nikimuona..,
#je nini cha kufanya au nimblock..,??
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuuShida ni status tu,,,
Fanya kitu kimoja nenda kwenye setting then status exclude namba yake pale atakuwa hana uwezo wa kuziona status zako
Daah karoho kanauma balaaHakuwa mpenz wako uyo na ndio maaana alikuficha na ushukuru amekionea huruma ya bila kukubebesha hiyo mimba
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu kama nyie sijui kwanini mungu anapoteza pumzi yake kwenu hapa dunianiULIZA TIGO PESA *150*01#
Sawa boss ngoja nifanye ivyoSasa kuview satus zako kosa liko wapi??
Jamaa unaonyesha bado unampenda kiasi kwamba unachukia kila kitu.
Sasa ushaur,,, Usikimbie kumblok, ila Hakikisha Status zako zoote zimuonyeshe kua Una maisha ya Furaha.
Lkn km unaweka za Kulia kulia hahaha Atakucheka mbaya
I mean nilikuwa mbali kidogo lkn sasa ivi ndio nimerudi nikagundua iyo situationKama sijakuelewa.. yaani mmedumu kwa mwaka mmoja hala ukagundua mimba sio yako..
Maswali. Huo mwaka mmoja mlikuwa hamfanyi mpz? Na me ni mimba gani inakuwa tumboni mwaka mzima??
mwanza kwetu,
Facebook ndo wangegonga hapa ________ tu[emoji1318]
KAMA UPO KWA AJILI YA KUSOMA COMMENTS KAMA MIMI,
GONGA LIKE TWENDE SAWA.
Sent using Jamii Forums mobile app
AhsanteUna umr gani ndugu?
Nahisi bado unampenda sna,,
Tatizo hutaki kukubali aende,,,
Si ajabu huyo msichana hakai mbali na makazi yako.
Pole sana
Pole sana
Pole sana.
Ila kubali kuanzisha ukurasa mpya wa maisha yako.
[emoji120]Kama ulishachukua maamuzi ya kumuacha inabidi ukubaliane na hali ujipange upya kutafuta mpenzi mwingine.
Acha kum-block