Mzigua90 kajitolea kunifundisha ya jikoni, wewe naomba unifundishe ya kitandani[emoji85][emoji85][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]njoo shogaangu mwaya nikufundishe kukaa jikoni...ya kitandani basi atakuja kungwi[emoji23]
Swadaktaaa na huyo ndio kungwi mwenyewee Shunie ukuje tafadhaliiItabidi tumafutie na kungwi akafundwe.. Cc @Shunie
Kumbe Shunie yuko njema eeeh! Nitamuomba anipe hilo darasaItabidi tumafutie na kungwi akafundwe.. Cc @Shunie
[emoji23][emoji23][emoji23]msondo utauwezaa???Mzigua90 kajitolea kunifundisha ya jikoni, wewe naomba unifundishe ya kitandani[emoji85][emoji85]
Ni kweli na kuna kauli mnasemaga sijafata ugali mana hata kwetu upo ha ha haa siaminigi hizi kauli kwakweliWapo wanakwambia mwanamke kaolewa akatumikie kitanda hayo mengine mbwembwe tu
Yuko njema na sio mchoyo wa kushare maujanja..Kumbe Shunie yuko njema eeeh! Nitamuomba anipe hilo darasa
Ndo mnavyosemaga hivyo nyie. Na sisi tunawafatishaNi kweli na kuna kauli mnasemaga sijafata ugali mana hata kwetu upo ha ha haa siaminigi hizi kauli kwakweli
Hakikaa..Kumbe Shunie yuko njema eeeh! Nitamuomba anipe hilo darasa
[emoji122][emoji122][emoji122]Yuko njema na sio mchoyo wa kushare maujanja..
Ngoja nianze urafiki naeYuko njema na sio mchoyo wa kushare maujanja..
NitamtafutaHakikaa..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ngoja nianze urafiki nae
Shime shimeeNitamtafuta
Hata hiyo chai nahisi utakua "Unachemsha" badala ya "kupika".[emoji40]Nitakuja mnifundishe kupika, mwenzenu najua kupika chai tu
Nyie ndo mnakauli tatanishi.Ndo mnavyosemaga hivyo nyie. Na sisi tunawafatisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Thad buanaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Basi best taratibu, usiniumbue mbele ya kadamnasi. Hivi ulinifundisha kuwa maji yakishapata uvuguvugu natia chumvi vikombe viwili eeeh!Hata hiyo chai nahisi utakua "Unachemsha" badala ya "kupika".[emoji40]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nasikia huo ni kiboko ya kitanda! Ukinifundisha nitauweza best[emoji23][emoji23][emoji23]msondo utauwezaa???
Ohoooh, naomba tuishie hapa, naomba Mungu ampe uvumilivu huyo mwalimu wa mapishi ajaye.Basi best taratibu, usiniumbue mbele ya kadamnasi. Hivi ulinifundisha kuwa maji yakishapata uvuguvugu natia chumvi vikombe viwili eeeh!