Kingine Chief-mkwawa hawa jamaa yawezekana wanatumia official nokia store ambapo kule hakuna official whatsapp, chakufanya hapo uninstall hiyo whatsapp, kisha tafuta app inaitwa 1market ambapo inafanya kazi kama playstore kwenye android, kisha install then tafuta sasa whatsapp hapo utapata official whatsapp download kisha fanya yako kiroho safi