nokia x2-01

teac kapex

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
470
136
jamani naomba kuelimishwa, je nokia x2 ina os gani? au haina na kama haina je ninunue simu gani yenye os ya android iliyo na bei si zaidi ya tsh 200000 nawasilisha.
 
Samsung galaxy mini ndo android ya laki 2,

Nokia x2 ni java phone
 
Back
Top Bottom