sema tu ukweli nokia ndio kaieka windows phone hapa ilipo. mi ni fan mkubwa wa windows phone ila nimeipenda sababu ya nokia.
asilimia 85 ya wp zote ni nokia, kuna vitu hivi nokia kavifanya kwenye windows phone.
1. app 600 store ni za nokia
2. ecosystem ya ramani ni ya nokia (hadi bing map)
3. nokia ametoa sdk zake mwenyewe ili madeveloper watoe apps mfano sdk ya camera
4. nokia ametoa app ya kuhack registry kuinfluence watu kuweza kuihack wp ili kupata vitu kama custom rom na kuside load apps
5. nokia ameruhusu research zake ziingie kwenye windows phone vitu kama glance screen, kublock calls na sms
vipo vitu vingi kaka vyengine sikumbuki kwa kichwa.
sasa imagine microsoft anachukua hardware part ya nokia, then cto office inabaki pale pale nokia.
hii cto office ndio roho ya nokia innovation zote zinatoka hapa alionunua microsoft ni watekelezaji wa vitu vinavyotoka hapa.
windows phone bila nokia itakufa unless microsoft aihamishe awape jamaa wa windows kazi ya kuisuka upya windows phone
Annael sio maneno yangu hayo, soko la dunia limeongea, Google wali announce 1billion activation ya android devices, vifaa zaidi ya billioni 1 vinatumia android, au unataka tu ubishi
Soko limeegemea kwa Android sawa lakini ukweli Windows Phone 8 is better than Android in all important aspects.
Sema kwakuwa Adroid alianza ndio maana yoko mbele kwa baskeli ya miti.
Halafu watu wanapenda sana kudanganywa, Android haipo stable na ni open source mda wowote tu project inaweza ikakwama au ikaenda mrama maana hakuna kiongozi ni fungulia dog.Pia Android ni bure kwa manufacturers, hii ndo chanzo kikuu cha kuwa kwenye simu nyingi. Pia simu nyingi sana ni hizi za low end.
Hakuna possibility kama hiyo, Microsoft sio wajinga.
Pili Android haina performance nzuri hata kwenye high end hardware kama G Nexus ina matatizo kibao ya ku-lag tofauti na WP8 ambayo ni smooth hata kwenye 520. Nokia wakiiweka Android kwenye low end hardware watajiharibia jina tu.
kaka microsoft kanunua part ya nokia na si kampuni ya nokia. inayoondoka ni part inayotengeneza hardware part nyengine kama nsn, cto office na masuala ya ramani ipo pale pale
Halafu watu wanapenda sana kudanganywa, Android haipo stable na ni open source mda wowote tu project inaweza ikakwama au ikaenda mrama maana hakuna kiongozi ni fungulia dog.
Windows Phone 8 is stable
You can run update smoothly na ku-uprage
Soko limeegemea kwa Android sawa lakini ukweli Windows Phone 8 is better than Android in all important aspects. Sema kwakuwa Adroid alianza ndio maana yoko mbele kwa baskeli ya miti.
Lumia 520 ukiieka android inadestroy cheap android zote bongo
Hata kama hizo fununu ni za kweli, it is too late. Nokia ilichemsha tokea mwanzo kabisa.
Their hardware was far nicer than Samsung's, but people were put off by their operating system with no applications.
Wengi wangenunua Lumia kama ingekuwa na Android. Lakini Nokia ilishindwa kuona kuwa tayari watu walikuwa wanajua jina la Nokia and trusted it and have released descent phones in the past
Najua baadhi ya Watanzania bado wako attached na Nokia, lakini worldwide haina market hata kama itahamia Android.
Even Blackberry iliyokuja kwa kasi imekuwa simu ya watoto siku hizi, except may be in Tanzania.
Juzi nimepitia kwenye baadhi stores za simu watu wako bize wakiweka orders for the next IPhone huku wengine wakichezea the Samsung S 4. Hakuna anayehaingaika na simu za Nokia tena.
Hata wakiahamia Android itawabidi waim-prove sana kwenye simu zao kimuenekano.
Android is New windows ya kwenye Simu
But not worldwide.
Haingii akilini Microsoft - walioinunua NOKIA - watumie technology ya mpinzani wao Google!
kaka bado hope ipo, so far lumia 520 alone ishauza 6+m phones (estimation zangu)
siku hizi kila mtu anajua kuangalia ubora wa simu watu wanaenda site za tech wanauliza, watu wanaangalia video review na pia kuna word of mouth advertisement ya kutosha.
kwa africa watu wanapenda simu ambazo ni imara angalia case za kuvunjika kioo za android zilivyo nyingi nokia anaweza tupa hili
na bila kusahau bei. lumia 520 sasa hv inafika hadi 240,000 ni cheaper kuliko techno n7 wakati ina specification nzuri kuliko n7. imagine unapewa simu kama nokia ambayo ni rahisi kuliko mchina na ina feature nyingi zaidi.
nafkiri ulimaanisha kwenda android hapo red.I like more competitors on the market as this works in favour of consumers. Lakini Nokia let down its loyal and trusted customers.
Honestly, ningependa kuiona Nokia ikirudi pale ilipokuwa kwa sababu walikuwa wanatengeneza simu imara.
Lakini OS wanayotumia sana ni sawa na Astom Martin iliyotengenezwa na DB9 with the engine of a small motor vehicle in which golfers can ride between shots.
Unajua ni kwa nini Nokia walikataa ku-replace Symbian with Nokia? Sababu ilikuwa ni nini hasa?
Hiyo sababu sababu siyo relevant tena sasa kiasi cha kutaka kuhamia Android?
nitajie simu ya android yenye krait s4 ambayo ni chini ya dola 200(africa), sehemu kama marekani inauzwa dola hadi 55 (kwa promotion) na dola 99(bila contract) sehemu kama india permanent ni chini ya dola 140.
simu ambayo kwa ukaribu inafatia ni sony xperia m ambayo bei yake ni dola 250.
tena usisahau kupunguza na bei maana wp unalipia wakati android ni bure
Statistically, Afrika ipo namba ngapi kwenye soko la simu duniani kiasi cha ku-influence manufacturer wa simu adedicate simu zake kwenye soka la Afrika?
Kwa nini Samsung ni number one handset duniani? Tena Samsung imeipita Nokia mwaka jana tuu with 23.4% of mobile phone market na kupanua soko lake Smartphone dhidi ya Apple kwa 30.3%.
Success ya Samsung ina offer what they really want: choice. Kwa mfano angalia aina ya S4 zilizoko sokoni. Zamani Nokia ilikuwa simu za aina mbalimbali, but in don't think they do the same.
Hata Apple hawawapi customers choice and that why many of its customers have moved to Samsung.
Nokia ilikuwa na nafasi ya kuwa simu za Windows as well as Android kama walivyofanya HTC lakini wakaamua kustick na windows thereby limiting consumers' choice.
nafkiri ulimaanisha kwenda android hapo red.
sababu za nokia kutoenda android zilkuwa mbili kubwa.
1. ovi store
2. here maps
zamani ilikua lazima utumie google maps, play, na apps nyengine za google nokia waliomba wakakataliwa ila sasa vitu hivyo vinakubaliwa na amazon ni mfano wake wana store yao na apps zao hawatumii vya google.
ikumbukwe navteq(here map) nokia aliinunua 8usd billion ina thamani kubwa kuliko nokia hardware part ambayo imeuzwa 5bn. hata ingekua wewe ungeipendelea investment ya 8bn kuliko ya 5bn
sisemi kwamba samsung hauzi za bei rahisi, ila nnachomaanisha nokia anauza zaidi kuliko samsung.
| Vendor | ||||||||||
| Samsung | 384.6 | 22.0% | 315.1 | 17.7% | Samsung | 406.0 | 23.7% | 330.9 | 19.3% | |
| Nokia | 333.9 | 19.1% | 422.5 | 23.8% | Nokia | 335.6 | 19.6% | 416.9 | 24.3% | |
| Apple | 130.1 | 7.5% | 89.3 | 5.0 | Apple | 135.9 | 7.8% | 93.1 | 5.4% | |
| ZTE | 67.3 | 3.9% | 56.9 | 3.2% | ZTE | 65.0 | 3.7% | 69.5 | 4.1% | |
| LG | 58 | 3.3% | 86.4 | 4.9% | LG | 55.9 | 3.2% | 88.1 | 5.1% | |
| Huawei | 47.3 | 2.7% | 40.7 | 2.3% | ||||||
| TCL | 37.2 | 2.1% | 34 | 1.9% | ||||||
| BlackBerry (RIM) | 34.2 | 2% | 51.5 | 2.9% | ||||||
| Motorola | 33.9 | 1.9% | 40.3 | 2.3% | ||||||
| HTC | 32.1 | 1.8% | 43.3 | 2.4% | ||||||
| Others | 587.4 | 33.6% | 595.9 | 33.6% | Others | 737.5 | 42.6% | 716.8 | 41.8% | |
| Total | 1,746.2 | 100.0% | 1,775.7 | 100% | Total | 1735.9 | 100.0% | 1715.3 | 100.0% | |