Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,062
- 43,492
Duh sipati picha specs zake zitakuaje?i guess itakuwa simu nzuri yenye ubora
maana kwa hilo nokia huwa hakosei
Lumia 520 ukiieka android inadestroy cheap android zote bongo
Ila kunataarifa za uhakika zinasema kuwa Microsoft wananunua kitengo chote cha utengenezaji wa simu wa NOKIALumia 520 ukiieka android inadestroy cheap android zote bongo
Ila kunataarifa za uhakika zinasema kuwa Microsoft wananunua kitengo chote cha utengenezaji wa simu wa NOKIA
Sina uhakika kama Microsoft wanaweza kujikaanga kwa mafuta yao wenyewe.
Na tayari deal hilo liko on mwaka kesho zaidi ya wafanyakazi 10,000 wa Nokia watahamia Microsoft.
Na Madirector wa kitengo hicho watakuwa chini ya madairector wa microsoft.
Sina uhakika kama kweli NOKIA anatengeneza simu za Adroid.
Mkuu naomba unipatie hiyo source ya information yako maana mimi ni mpenzi wa Windows Phone hii itakuwa sio good news kwangu.kaka hili nalifahamu nimelijibu katika point ya 4
inayoondoka ni part ya hardware na si ya research, part ya research ipo chini ya cto office ambayo sasa itapewa priority kubwa. hii ina maana hata hili deal ikifanikiwa mwez wa 11 na part ya hardware ikauzwa still part ya reasearch itakua nokia na project android itabaki vile vile
Ila kunataarifa za uhakika zinasema kuwa Microsoft wananunua kitengo chote cha utengenezaji wa simu wa NOKIA
Sina uhakika kama Microsoft wanaweza kujikaanga kwa mafuta yao wenyewe.
Na tayari deal hilo liko on mwaka kesho zaidi ya wafanyakazi 10,000 wa Nokia watahamia Microsoft.
Na Madirector wa kitengo hicho watakuwa chini ya madairector wa microsoft.
Sina uhakika kama kweli NOKIA anatengeneza simu za Adroid.
Kitengo cha simu cha Nokia wamewauzia Microsoft.
Moja ya makubaliano ya kuuziana huko ni kuwa Nokia haitatengeneza simu zozote zengine wala haitatumia jina la Nokia kwenye product za simu, hivyo hakuna chance ya Nokia Android, nadhani ni kwa miaka miwili hawaruhusiwi.
Haingii akilini Microsoft - walioinunua NOKIA - watumie technology ya mpinzani wao Google!
nafkiria possibility hii, simu ya mwisho ya microsoft ya bei rahisi zaidi ni lumia 520, hii android ni snapdragon 200 ambayo technically ni ndogo kuliko lumia 520.
huenda nokia wana plan kuendelea na simu zao za bei rahisi waachane na simu kubwa, na sababu deal lipo kwenye makaratasi halijakamilika hadi shareholder mwezi wa 11 wakubali basi terms zinaweza kubadilishwa.
microsoft na lumia yao watadeal na simu zao za bei ghali na nokia ataendelea na simu zake za bei rahisi. win-win situation
Mkuu naomba unipatie hiyo source ya information yako maana mimi ni mpenzi wa Windows Phone hii itakuwa sio good news kwangu.
mynokiablog said:*Note: the site claimed that the
device is being made by the
Nokia R&D labs, which as far
as I gather are going to remain
under Nokias ownership after
the buyout (under the advanced
technologies name) so that
adds an interesting angle to the
continued Android research.
Kaka unaweza ukaongea mpaka ukachoka mimi ninachohitaji ni source ya hiyo information yako.
Hivi unilisikia hiyo deal ikoje au hujaisikia?
Kaka deal ni kuwa Kitengo chote cha kutengeneza simu cha NOKIA (Na nokia watabaki tu kufanya service kama Maps na software zingine na sio kutengeneza simu)
Kaka nimeziona hizo forum ni kama viwanja vyetu tu.nimekujibu hapo chini mkuu, hayo maneno nilikua naongea na kang,
na mbona possibilities zipo nyingi tu nokia akiwa anasubiri hio 2014 december ifike anaweza akatengeneza custom android ambayo ipo full na ecosystem yake, yani android yenye here map, drive, city lens, na vitu vingi then akawapa manufacture wengine wa kichina waitumie akiwa anasubiria comeback (kama anavyofanya maui)
Kaka mimi ninadhani hujui uwezo wa Windows Phone mimi ninakupa 1year hutasema haya tena.Android is New windows ya kwenye Simu
Kaka mimi ninadhani hujui uwezo wa Windows Phone mimi ninakupa 1year hutasema haya tena.