Naheshimu sana mawazo ya wataalamu hasa wewe chief linapokuja suala la simu..nitafanya hivyo..siko Dar..je zimeshafika huko na bei yake(630)kaka hakuna haja ya kununua 635 bora ununue 630. 635 ni lumia 630 yenye lte aka 4g, na tz hakuna 4g ina maana ukinunua wewe na mwenye 630 mtakua sawa sawa. Lumia 635 bei yake kubwa kuliko 630
Naheshimu sana mawazo ya wataalamu hasa wewe chief linapokuja suala la simu..nitafanya hivyo..siko Dar..je zimeshafika huko na bei yake(630)
300,000 xl na z3 bado kuja
zitakua zimeshafika na bei around 300,000
Hivi kwa shs.500,000 simu gani nzuri naweza pata isipokuwa kwa simu kama techno na zinazofanana ( mediatek)
kwa android unapata
1.galaxy s3
2. Motorola moto g lte version
3. S4 galaxy, used
4. Note 2 used
5. Galaxy grand
6.nexus 4 kama utaipata
kwa wp
1. Htc 8x
2. Lumia 720
3. Nokia lumia 625
4. Lumia 1320
kwa android unapata
1.galaxy s3
2. Motorola moto g lte version
3. S4 galaxy, used
4. Note 2 used
5. Galaxy grand
6.nexus 4 kama utaipata
kwa wp
1. Htc 8x
2. Lumia 720
3. Nokia lumia 625
4. Lumia 1320
kaka hakuna haja ya kununua 635 bora ununue 630. 635 ni lumia 630 yenye lte aka 4g, na tz hakuna 4g ina maana ukinunua wewe na mwenye 630 mtakua sawa sawa. Lumia 635 bei yake kubwa kuliko 630
Sorry chief , ina maana hao wanaojiita smile sijui smart hawana hiyo 4 g? Pia kuna wakati nilisikia Voda walifunga 4 g baadhi ya maeneo je haikuwa kweli? mm nipo mkoani ndio maana nauliza
kwa android unapata
1.galaxy s3
2. Motorola moto g lte version
3. S4 galaxy, used
4. Note 2 used
5. Galaxy grand
6.nexus 4 kama utaipata
kwa wp
1. Htc 8x
2. Lumia 720
3. Nokia lumia 625
4. Lumia 1320
Chief nimeshtuka kidogo kuona hata 1320 unaweza kupata kwa 500,000. Najua Spec zake huwezi kufananisha na 1520.
Naweza kujua 1520 imefika sh.ngapi hapa bongo??
ukiitafuta unaipata bei hio, hio 1520 imeshuka sku hz around 400 hadi 500 usd sjui huku inaendaje.
Challenge question kwa Lumia Users.
Hivi ni kwa nini nokia lumia nyingi anatengeneza simu haweki front camera na flash light.? Or wanadhani camera ni ya least important katika gadget kama simu.? Lumia 520, 525, 630, 635 etc. Zote hizi hazina hivyo vitu. Why.?
Cc: Chief-mkwawa.