lumia 625 ziliishia wapi? Nmewahtafta smu hii nikakosa.. Na nmeishia kuiona mtandaon tu
lumia 625 ziliishia wapi? Nmewahtafta smu hii nikakosa.. Na nmeishia kuiona mtandaon tu
zipo nyingi bongo nimeziona sana mikononi mwa watu, na bei huko majuu pia zimeshuka imefika range ya 200,000 nafkir na huku bei itakua sio kali
zipo nyingi bongo nimeziona sana mikononi mwa watu, na bei huko majuu pia zimeshuka imefika range ya 200,000 nafkir na huku bei itakua sio kali
kaka kama simu ya 5 inch sio tatizo kwako basi lumia 930 itakufaa ila kama still unataka ndogo basi lumia 925 ndio nzuri.Mimi ni mpenzi wa simu za kioo kidogo na nyepesi kubebeka..tangu nianze kutumia simu mapenzi yangu yalikuwa kwa nokia hadi mwaka jana nilipojikuta niko ios,nafikiria kurudi wp na kabla ya uzi huu nilijipanga kuomba ushauri kwa chief-mkwawa wa simu gani nianze nayo..kwa hii simu naona nitapata ninachohitaji...
Yap, Hiv Mkuu,
Nokia XL inauzwaje Dukan TZ,
Na vip kuhusu BlackBerry Z3, imeshakuja..!
kaka kama simu ya 5 inch sio tatizo kwako basi lumia 930 itakufaa ila kama still unataka ndogo basi lumia 925 ndio nzuri.
Hii ya 930 imefika Bongo?
asante kwa taarifa. acha tuisubiri sisi ambao ni die hard fans wa nokiaNadhani hii simu ni muendelezo wa Lumia 620 Line-up. Nimezipenda specs zake:
-Screen 4.5" (218ppi density)
-Processor Quad-core 1.2 GHz Cortex-A7
-RAM 512MB
-Camera 5MP
Mapungufu yake makuu:
-RAM ndogo 512MB.
-No flash na camera ya mbele.
Faida zake kuu:
-Bei yake officially ni nzuri, USD 190.
-Ina 4G LTE
Inakuja na Windows 8.1 ndani. Sina.mashaka na RAM ya 512MB katika Windows 8.1, still ita run smooth, usiwe na wasiwasi.
Nadhani soon itafika Tanzania. Bei nzuri sana na kwa specs hizo huna haja ya kulalamika.
bado haijafika ila soon inafika
bado haijafika ila soon inafika
Bei kiasi gani??
hua wanaonunua hizi hawaulizi bei, around 1m hadi 1.4
bado haijafika ila soon inafika
Naisubiri 635..vipi imeshafika Dar?..hii imekidhi vigezo vyangu..sio mzito sana,kioo kidogo, ina sd card, na ndio toleo la hivi karibuni.