nokia smartphone inauzwa bei nafuu sana.

nokia smartphone inauzwa bei nafuu sana.

Pionaire

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
1,595
Reaction score
1,135
Kuna nokia 5233 smartphone inauzwa kwa 90000TZ$,haina tatizo,inamiezi mitano tu,ni touchscreen,nyeusi na ina vitu vyote kama internet,radio..nk,na apps za kumwaga kwa atakayeitaji anitafute kwenye namba yangu ya "0712269097".
 
Mi nina elfu 50 kama upo tayari tufanye biashara

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
inakubali whatsapp?,nijuze fasta tufanye bussiness
 
mkuu jephta,yani usiulize iyo kitu inasupport whatsapp na apps nyingine kibao,ww fanya unicheki kwenye iyo namba nikuachie mzigo mkuu?
 
Kuna nokia 5233 smartphone inauzwa kwa 90000TZ$,haina tatizo,inamiezi mitano tu,ni touchscreen,nyeusi na ina vitu vyote kama internet,radio..nk,na apps za kumwaga kwa atakayeitaji anitafute kwenye namba yangu ya "0712269097".

ushaiuza hiyo simu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom