Nokia restore factory

Hansy wa East

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2012
Posts
446
Reaction score
232
Wadau natumia kasymbian 40 nokia c 3-00 ila nataka kuifanyia restoration bt nmesahau password msaada plz kama naweza kuiweka sawa maana settng zimekaa ovyo sana natanguliza shukran
 
Mbona rahisi sana hebu ingiza namba hizi 12345 then itajizima halafu itajiwasha yenyewe!
 
Wadau natumia kasymbian 40 nokia c 3-00 ila nataka kuifanyia restoration bt nmesahau password msaada plz kama naweza kuiweka sawa maana settng zimekaa ovyo sana natanguliza shukran

Fanya hivi kama ni nokia orginal *#7780# kwisha kazi utaniambia.Mwanzo tu sio paka uingie kwenye menu au kwenda popote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…