best bestest
Member
- Apr 23, 2013
- 12
- 1
nokia n97 inauzwa ni used ila nzima na original ina 32gb,camera ya nyuma 5.4 megapixel na mbele 2.8, ina ruhusu wireless kwa shilingi laki moja na sabini.
nokia n97 inauzwa ni used ila nzima na original ina 32gb,camera ya nyuma 5.4 megapixel na mbele 2.8, ina ruhusu wireless kwa shilingi laki moja na sabini.
n9000 sijajua ila n97 mara ya mwisho hivi karibini nimeiona dukani kwa laki 6. Ila n97 mini sijajua bei yake
niuzie mimi ila tutakupataje mkuu? humu jamiiforums?