Nokia N900 with Maemo and Android OS for sale | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nokia N900 with Maemo and Android OS for sale

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Matunyengule, Sep 10, 2012.

 1. M

  Matunyengule JF-Expert Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 701
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Kwa kifupi simu yangu nilitaka kuiuza ila nilibadili mawazo baada ya kuinstall Android ikawa ina os mbili ya maemo na Android gingerbread nikabadili mawazo ila kwa sasa nina uhitaji wa hela nimelazimika kuiweka sokoni.
  Kwa ufupi iko fiti niliinunua mwaka jana. Vile hutaipeleka kwa fundi hata kama hutaki kutumia os zote mbili nimeweka kwenye folder mafaili ya kufanyia hard reset.
  Ina 48 GB yaani Built in memory 32GB na 16 GB kwenye memory card. Nilinunua mwaka jana Ipo khali nzuri haijawahi kufunguliwa nimeifanyia hard reset mwenyewe. bei ni maelewano ila naanzia 400,000. Kama unahitaji ni pm.
   
Loading...