Nokia N900 Natafuta

Mimi ninayo mkuu tatizo sipo kwa nyerere ningekucall na pia naiuza ni 32GB 5mp
Ongeeni biashara muexchange information,mkikubaliana itume simu kwe DHL kwa mtu wako wa karibu theni mnunuzi alipe hapo..halafu wewe mtu wako atakutumia pesa yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom