Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,073
- 43,520
Nokia n9 inuzwa ya rangi ya pink (simu adimu kabisa) simu imeshatumika na ipo katika hali nzuri bila tatizo ina scratch kwenye cover kwenye pembe tu.
Brief specs
1.Ina kioo inch 4
2.Processor 1ghz cortex a8
3.Ram ni 1gb
4.Camera ni 8mp na front camera ipo
5.Internal memory ni 16gb bila memory card
6.Kioo chake ni gorilla glass na ni cheusi sana cha quality ya juu (utaona picha kwa chini)
7.ina 3g speed hadi 14.4 mbps
Special features
kwa wanaiojua n9 hawana haja ya kuisoma hapa ila kwa wasiojua hii ndio simu pekee ya nokia inayoingia operating system zaidi ya moja kama ni mtaalamu wa simu unaweza kuboot os 3 kwa mpigo yaani meego, android na nemo.
Simu hii pia ina app ya air ui ambayo inakuwezesha kuoperate simu bila kuigusa yaani mfano unaangalia pic kwenye gallery we pitisha mkono juu tu picha zinabadilika zenyewe (galaxy s4 aliiga hapa)
Pia os inayokuja na hii simu inaitwa meego ni unique sana na unaoperate kwa swype tu bila kugusa gusa.
Picha
Ikiwa imezimwa ipo hivi.
Ikiwa huitumii inaonesha saa tu kwenye screen
Menu yake ipo hv
Kwa nyuma ipo hv
Bei
Bei inauzwa 350,000
Unaweza angalia amazon au ebay bei ya hii simu ikiwa rangi ya pink then ukafanya uamuzi.
Mimi nipo tanga ila naweza pia kuiuza dar
no ya simu nicheki 0715696962