Sasa na we we tena unashindwa kuweka bei ,kwanini hutaki kuweka bei yake hapa kabla ya kuanza kusumbuana kwa kupigiana simu kuuliza eti uncle unauza shilingi ngapi,weka mabo hadharani ili mnunuaji ajipime mwenyewe kama anweza kununua au la ,hili tatizo lal kutotaka kuweka bei sijui kwanini linaongezeka kila kukichwa,pamoja na kulalamikiwa,unapomvua mtu nguo bana mvue zote usibakishe Gstring banaWana JF.
Nipo na simu yangu aina ya NOKIA N70-na sifa hizi, inauzwa
kwa mawasiliano ya biashara piga: 0777699153 au hermitscorp@gmail.com
- color:Silver White.
- 2GB Memory Stick.
- 3hours talking time-i test it.
- Original Made in Germany
- No problem detected till now.
- support 3G and GSM networks
- full wow! effect apps installed.
- it has its original headset that hit-as large speakers.
- its used for 2years.
Kama umeshaitumia miaka 2 then itakuwa ishadepreciate so kibiashara ninaweza kutoa Tshs 70elfu, ukiona kuna maslahi ni PM
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umefukua thread ya zaman kweli...hii simu INA sifa gan za ziada hadi utafute screen badala ya kununua mpya?
Umefukua thread ya zaman kweli...hii simu INA sifa gan za ziada hadi utafute screen badala ya kununua mpya?
hiyohiyo ndo naitafuta kama unayo unaweza niambia au wap zinapatikanaUmefukua thread ya zaman kweli...hii simu INA sifa gan za ziada hadi utafute screen badala ya kununua mpya?