Ushauri wa bure kwa watumiaji simu za mkononi.
msikubali kununua simu aina ya android/iPhone kutoka kwa mtu (used), simu hizi zinarecord kila kitu na kutunza kumbukumbu kwa muda mrefu hata ukiflashi. Ikitokea ukauziwa ambayo mwenye nayo aliitumia kwenye uhalifu, ni lazima utakamatwa kwa sababu Mara unapoweka chip yako simu hizo hutoa taarifa na ni rahisi wewe kuhusishwa na uhalifu uliotokea hapo nyuma kwa kutumia simu hizo. Natafuta clip yenye maelezo hayo kwa kina nitaiweka humu jamvini ili muone athari za kununua simu aina hizo kutoka kwa mtu ambaye humjui