Nokia Lumia 620

Nokia Lumia 620

ACT TENA

Member
Joined
Mar 15, 2014
Posts
54
Reaction score
13
Habari wanajamvi...
naomba msaada simu yangu inagoma ku-upload picha na video kwenye social-network tatizo hili Ni kwa picha nilizopiga na lilianza baada ya kubackup simu,
aina ya simu Ni Nokia Lumia 620
 
Hebu jaribu kurestart au kupunguza vitu kwenye simu
 
Habari wanajamvi...
naomba msaada simu yangu inagoma ku-upload picha na video kwenye social-network tatizo hili Ni kwa picha nilizopiga na lilianza baada ya kubackup simu,
aina ya simu Ni Nokia Lumia 620

Samahani! social network kama ipi? whatsapp?
 
Back
Top Bottom