chalii wa ara
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 1,089
- 1,026
Nauza Nokia lumia 620 rangi ya blue bahari imetumika miezi miwili bei laki mbili na sabini 270,000/=
Nauza Nokia lumia 620 rangi ya blue bahari imetumika miezi miwili bei laki na nusu 270,000/=
Mkuu eleweka na bei yako,umesema bei ni laki na nusu halafu mwisho umeandika 270,000/- sasa bei ni ipi hapo,mm naihitaji lakini eleweka kwanza
nauza nokia lumia
620 rangi ya blue bahari imetumika miezi miwili bei laki mbili na nusu
270,000/=
Mkuu mbona bei inajieleza laki 270,000/=