Nokia Lumia 520

Nokia Lumia 520

Clemoo

Member
Joined
Nov 27, 2011
Posts
72
Reaction score
16
Wakuu naomben msaada simu yangu imevunjika kioo ni nokia lumia 520 wapi naweza pata spea ya kioo?
 
Wakuu naomben msaada simu yangu imevunjika kioo ni nokia lumia 520 wapi naweza pata spea ya kioo?
Unaonnekana umechanganikiwa, hujaeleza upo mkoa gani au sehemu gani, kama upo mkoa wa Dar es salaam jaribu kwenda pale posta kuna duka la simu na vifaa vya electronics linaitwa Sapna, hawa jamaa hawawezi kukosa
 
Njoo makumbusho ulizia fundi cm anaitwa deo kila kitu kinapatikana ila jipange kwa bei coz vitu vyake cyo vya kubabaisha. Makumbusho kijitonyama jengo la crdb bank hapa milenium tower.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom