asante mkuu. nakushuru sana nitamtafuta,
Mwl.RCT hatokei mkuu, probably hayupo na access ya Jf kwa sasa, kuna namna nyingine ya kumpata? msaada tafadhali
Asante mkuu, ubarikiwe
Ndugu nimesearch thread mbalimbali, nimefanikiwa kupata hii contact yake 076-892-4841
Asante, nina imani wito huu umemfikia
Vitu viwili vinatakiwa vifahamike ili kupata unlock codes za Lumia 520
- IMEI number za hiyo simu.
- Network locked mfano: tigo-Tanzania, au Vodafone-UK, au AT&T - USA
- Weka hiyo taarifa kwenye huu uzi: https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/515251-huduma-unlocking-phone-by-imei-number-4.html
- KARIBU
- Pamoja mkuu
Naomba msaa wa kupata PIN/CODES au technique ya ku-unlock nokia Lumia 520, ni brand new, ila nimeshindwa kuingiza PIN zake