aliekwambia widows phone haikubali whatsapp ni nani? whatsapp natumia na khs operamini mm natumia uc browser iko vizuri zaidi ya opera. bytheway hakuna sheria jf kila post lazima ucomentnadhani unauza kwakuwa imegoma kudownload whatsap,operamini ndugu....
kweli mkuuu wengine wanauza kwa sababu mtu ana shida asa ukianza kumharibia mwenzio wazidi kufanya tatizo lake lisitatulike.TUWE WASTAARABaliekwambia widows phone haikubali whatsapp ni nani? whatsapp natumia na khs operamini mm natumia uc browser iko vizuri zaidi ya opera. bytheway hakuna sheria jf kila post lazima ucoment
Lumia 610 ipo katika hali nzri, bei ni laki na stini tu (160,000). kama upo intrested pm me
Jivute 140 mkuu nikuachie mzigo
Lumia 610 ipo katika hali nzri, bei ni laki na stini tu (160,000). kama upo intrested pm me
kweli mkuuu wengine wanauza kwa sababu mtu ana shida asa ukianza kumharibia mwenzio wazidi kufanya tatizo lake lisitatulike.TUWE WASTAARAB
110k km inalipa nitafute 0752385949
110k, hivi hii k humaanisha nini? Naona wazungu k waafrica k, k huwa ni nini mbele ya namba?
110k, hivi hii k humaanisha nini? Naona wazungu k waafrica k, k huwa ni nini mbele ya namba?