na 1520 ni bei gani chief-mkwawa
cc chief-mkwawa
tigo shop inauzwa 690,000tsh nadhani zile shops kubwa kubwa.
Nokia | Tigo.co.tz
kumbuka vitu always kwenye tigo shop ni ghali kdg except huawei phones coz wameingia ubia wa biashara. usiwe mvivu kuzunguka zaidi
midcom east africa wana dealers wao dar. washawahi nitajia nimesahau. uki wa email wana reply asap. wanauza Ksh 31,350 approximately tsh 590,000
cheki hapa; Nokia Lumia 1320
bei zake zinarange 500,000 hadi 600,000 posta zipo maduka mengi tu.
Ahsante mkuu pia naomba kujua kama zinasupport miamala kama ya mpesa and others pia shortcoming zake kwa mazingira ya kibongo