Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,278
- 44,414
nimeiDownload ipo vizuri sana hiyo,,kama mtakumbuka wiki kadhaa zilizopita nilipost kua nokia maps zimebadilishwa jina na sasa zimeitwa here maps na nikasema zitakua cross platform kwa kuletwa kwenye device mbalimbali
leo nokia wamerelease here map kwa ios kama una iphone nenda app store ukadownload, brakelyn na i144 hope mtakua wa kwanza kudownload.
kwa wale wa android soon mtapata yenu.
Wa apple msiwory hamtapotea tena
hasa kwahyo wa symbian hatuna haja ya kudownload hyo thoug we got nokia map.. Or na sis pia tunahusika
chief-mkwawa vipi kuhusu MAEMO 5, maana kuna emulator ya WP je inaweza kutumika kurun hiyo app?
dah am not sure kuhusu hiyo emulator maana nnayoijua mimi inabadilisha interface tu na sio kuload apps. Ina emulate wp7.5 au pamoja na wp8?
Nimedownload lakini kwa hapa bongo nikimeo balaaaa sioni uzuri wake. Pia bado kama haijakamilika hawa jamaa kama wamelipua sana kutoa tuu map kabda ya google. Halafu hii map nikama tuu unaacces zile online maps na file lenyewe ni 3mb so there is nothing much there mbwembweee tuuuukama mtakumbuka wiki kadhaa zilizopita nilipost kua nokia maps zimebadilishwa jina na sasa zimeitwa here maps na nikasema zitakua cross platform kwa kuletwa kwenye device mbalimbali
leo nokia wamerelease here map kwa ios kama una iphone nenda app store ukadownload, brakelyn na i144 hope mtakua wa kwanza kudownload.
kwa wale wa android soon mtapata yenu.
Wa apple msiwory hamtapotea tena
Nimedownload lakini kwa hapa bongo nikimeo balaaaa sioni uzuri wake. Pia bado kama haijakamilika hawa jamaa kama wamelipua sana kutoa tuu map kabda ya google. Halafu hii map nikama tuu unaacces zile online maps na file lenyewe ni 3mb so there is nothing much there mbwembweee tuuuu
hebu onyesha na wewe screenshot basi
pia ukumbuke hizo 3mb + 10mb za kucache map kutumia offline.
Naona tayari sasa hivi nokia map zipo top 4 ya free apps za apple na ina masaa 24 tu after week itavunja rekodi zote