so far vitu hivi amefanyaSina hakika kama ataweza kucompete na samsung...Nokia zaman bwana saiv hana jipya
Sina hakika kama ataweza kucompete na samsung...Nokia zaman bwana saiv hana jipya
mkuu soko ndio linashusha simu bei sio kampuni, ikitoka snapdragon 845 automatic simu za sd835 zitashuka beiIla boss nokia ana historia ya simu zake kutoshuka bei kizembe. Sijui labda itokee kwa hii Nokia 8.
Angalia hii,ni technology ambayo imetumika kwenye hii simu hiyo cooling pipe imeunganishwa na processor ili kuipa simu nguvu na kuipoza yaani unaweza kuchukua video kwa saa 1,ukacheza game kwa masaa 2,ukadownload n.k bila simu kupata moto yaani inakuwa kama umeshika cocacola ya baridi mkononiSina hakika kama ataweza kucompete na samsung...Nokia zaman bwana saiv hana jipya
kwa wale wapenzi wa Nokia , baada ya kutoa Nokia 6, 5 na 3, Nokia ametoa flagship yake tayari. Naona ametembea mulemule kwa kama wadau walivyotarajia. Camera ametumia Zeiss optics, Processor ametumia snapdragon 835 ambayo ndo processor bora kwa sasa.
kuna app ya Nokia care nilicheki wamelist kuna agent wao hapa bongo, ila officially mimi sijaziona na hata Tangazo barabarani sijaliona, kupatana na site nyengine zinapatikana hizo simu sema bei lazima ulipe premium laki 1 au 2 zaidi ya bei.Nokia 6, 5 na 3; Hizi simu zinapatikana hapa Bongo? I mean officially.
Angalia hii,ni technology ambayo imetumika kwenye hii simu hiyo cooling pipe imeunganishwa na processor ili kuipa simu nguvu na kuipoza yaani unaweza kuchukua video kwa saa 1,ukacheza game kwa masaa 2,ukadownload n.k bila simu kupata moto yaani inakuwa kama umeshika cocacola ya baridi mkononiView attachment 581922
kuna app ya Nokia care nilicheki wamelist kuna agent wao hapa bongo, ila officially mimi sijaziona na hata Tangazo barabarani sijaliona, kupatana na site nyengine zinapatikana hizo simu sema bei lazima ulipe premium laki 1 au 2 zaidi ya bei.
vitu ulivovitaja hapo juu ndio end users wanaangalia wanaponunua simu...kama umekubali samsung kamzidi Nokia kwa camera quality,display quality,battery life sasa hapo unadhan nokia atatumia ushawishi gan kuteka wateja wa Samsung waende kwao?..labda hapo kwenye double camera na audio qualitykwenye camera, display, battery life, feature za android samsung wapo juu zaidi,
Hiyo feature ni spesho kwa heavy user wanaofanya multi tasking na kuplay heavy games lakin kwa majority ya watanzania wanaonunua smartphone kwa ajili ya kuperuz facebook,instagram,jamii forums na kupigia picha hawatoona umuhimu wa hiyo cooling rodAngalia hii,ni technology ambayo imetumika kwenye hii simu hiyo cooling pipe imeunganishwa na processor ili kuipa simu nguvu na kuipoza yaani unaweza kuchukua video kwa saa 1,ukacheza game kwa masaa 2,ukadownload n.k bila simu kupata moto yaani inakuwa kama umeshika cocacola ya baridi mkononiView attachment 581922
vitu ulivovitaja hapo juu ndio end users wanaangalia wanaponunua simu...kama umekubali samsung kamzidi Nokia kwa camera quality,display quality,battery life sasa hapo unadhan nokia atatumia ushawishi gan kuteka wateja wa Samsung waende kwao?..labda hapo kwenye double camera na audio quality
Ivyo vyote ulivyovitaja naweza kufanya kwa s8 bila kuchemka na haina iyo cooling fan. Kinachomatter ni aina ya processor..Angalia hii,ni technology ambayo imetumika kwenye hii simu hiyo cooling pipe imeunganishwa na processor ili kuipa simu nguvu na kuipoza yaani unaweza kuchukua video kwa saa 1,ukacheza game kwa masaa 2,ukadownload n.k bila simu kupata moto yaani inakuwa kama umeshika cocacola ya baridi mkononiView attachment 581922