nokia e72 inauzwa

nokia e72 inauzwa

FRGR

Senior Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
126
Reaction score
56
simu hii imetumika si zaidi ya mwezi bei ni 350k..pungufu unaoengea na utasikilizwa..kama unaihitaji nicheki kupitia 0713 190 118..wahi kabla sijaiuza
 
Duh! Kaka ushauri tuuu wa haraka haraka nilikuwa na simu kama hyoo nikaiuza 250, kwa hyo bei yakoo haupati mtu hyo ni bei ya Nokia Lumia 620.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom