Uko wapi?na hiyo sim imetumika au ni mpya?Leta 80000 nkupe E63
Tuelekezane tufanye biashara au weka namba nikupigie niko tayari kwa biasharaUko wapi?na hiyo sim imetumika au ni mpya?
Natafuta nokia E63 au E71iwe kamili na vitu vyake na isiwe kimeo.Nina sh 50000.kama unayo weka namba ya sim nitakupigia.