KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 278
Nisaidie na mimi hizo software mkuu na mimi niwe ktk ulimwengu wa teknolojia kama wewe na nisishawishiwe na hivi vinyumba ndogo vya sasa!!!!!!!!du jomba hiyo ya E61i ni moma yani ukipata software zake utaipenda me ndo natumea yani nikama nipo na kompyuta mtaani
badilikeni na spidi ya teknolojia inavyobadilika...samsung galaxy ndo mpango mzima
andaa laki tisa na ushee mkuu na kama unahijati iphone 4 andaa mln.1.5 mkuu.but hiyo nikia 61 is better manake ni 3g hiyo x2 ni 2gnaipata wapi kwa kiasi gani?
Nilipewa Nokia E61i na Vodacom TZ. Ni simu nzuri sana katika suala la internet na applications nyingine. Tatizo lake kubwa ni kutosikika vizuri kwenye voice calls. Watu wengi wanalalama kwa hilo.Jamani wanaJF wenzangu nisaidieni ninatumia simu aina ya Nokia E61i na nimeona dukani NokiaX2 nikaipenda ila sijaitumia niitambue kama ni bora zaidi ya hii ninayoitumia tafadhali msaada kwa wanaoitumia au waliokwishaitumia au wanaozifahamu wanisaidie ipi bora kama vipi niuze hii ninayoitumia ninunue hii X2 msaada tafadhali