C Chantaburi JF-Expert Member Feb 23, 2012 749 194 Dec 1, 2013 #1 Wadau ninahitaji simu hiyo maana niliyonayo imeharibika lakini nikipata nyingine ntashukuru sana. Nipo tayari kwa bei yoyote ile. karibuni
Wadau ninahitaji simu hiyo maana niliyonayo imeharibika lakini nikipata nyingine ntashukuru sana. Nipo tayari kwa bei yoyote ile. karibuni
L LUTAMBI JF-Expert Member Jun 1, 2012 233 102 Dec 1, 2013 #2 Simu gan haina fm radio wala hai play videos za youtube. Poor nokia, poor E-series & poor E61i.
C Chantaburi JF-Expert Member Feb 23, 2012 749 194 Dec 2, 2013 Thread starter #3 LUTAMBI said: Simu gan haina fm radio wala hai play videos za youtube. Poor nokia, poor E-series & poor E61i. Click to expand... Okay lakini kwangu sihitaji hivyo unavyovitaka. Hii ni kwa kazi na matumizi maalum tu. Kama unayo niuzie tafadhali. Ninazo smartphones zenye zaidi ya hivyo lakini hazina baadhi ya siri kama e61i.
LUTAMBI said: Simu gan haina fm radio wala hai play videos za youtube. Poor nokia, poor E-series & poor E61i. Click to expand... Okay lakini kwangu sihitaji hivyo unavyovitaka. Hii ni kwa kazi na matumizi maalum tu. Kama unayo niuzie tafadhali. Ninazo smartphones zenye zaidi ya hivyo lakini hazina baadhi ya siri kama e61i.