Wakuu me nahitaji simu ya nokia original iwe mpya kabisa na isiyozidi elfu 70,Naomba ushauri wenu ninunue aina gani,sihitaji kuitumia kwa internet,ni kwa kupiga tu na kuandika message,ila nahitaji yenye kioo kipana kwa kuwa nina tatizo la kutokuona maandishi madogo.