Rural Swagga JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 1,643 Reaction score 1,177 Jan 8, 2011 #1 Nimedondosha nokia yangu e5,hapohapo imepoteza network,Nilikuwa naomba ushauri wenu wa nn cha kufanya kabla sijaipeleka kwa fundi,Asanteni sana
Nimedondosha nokia yangu e5,hapohapo imepoteza network,Nilikuwa naomba ushauri wenu wa nn cha kufanya kabla sijaipeleka kwa fundi,Asanteni sana
drphone JF-Expert Member Joined Sep 29, 2009 Posts 3,542 Reaction score 294 Jan 8, 2011 #2 Rural Swagga said: Nimedondosha nokia yangu e5,hapohapo imepoteza network,Nilikuwa naomba ushauri wenu wa nn cha kufanya kabla sijaipeleka kwa fundi,Asanteni sana Click to expand... kama imepoteza network baada yakuangusha then unachaziada zaidi yakupeleka kwa fundi mzuri akutengenezee hope itapona pole na matatizo mkuu
Rural Swagga said: Nimedondosha nokia yangu e5,hapohapo imepoteza network,Nilikuwa naomba ushauri wenu wa nn cha kufanya kabla sijaipeleka kwa fundi,Asanteni sana Click to expand... kama imepoteza network baada yakuangusha then unachaziada zaidi yakupeleka kwa fundi mzuri akutengenezee hope itapona pole na matatizo mkuu
M mbongopopo JF-Expert Member Joined Jan 24, 2008 Posts 1,611 Reaction score 764 Jan 8, 2011 #3 mie ningekushauri u google na kupata majibu kama yamo kwenye forums nyingi zinazoongelea nokia, nahisi lazima utaona kitu
mie ningekushauri u google na kupata majibu kama yamo kwenye forums nyingi zinazoongelea nokia, nahisi lazima utaona kitu
Rural Swagga JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 1,643 Reaction score 1,177 Jan 10, 2011 Thread starter #4 drphone said: kama imepoteza network baada yakuangusha then unachaziada zaidi yakupeleka kwa fundi mzuri akutengenezee hope itapona pole na matatizo mkuu Click to expand... Asante kaka nilipeleka kwa fundi na sasa iko katika hali yake ya kawaida
drphone said: kama imepoteza network baada yakuangusha then unachaziada zaidi yakupeleka kwa fundi mzuri akutengenezee hope itapona pole na matatizo mkuu Click to expand... Asante kaka nilipeleka kwa fundi na sasa iko katika hali yake ya kawaida
Rural Swagga JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 1,643 Reaction score 1,177 Jan 10, 2011 Thread starter #5 mbongopopo said: mie ningekushauri u google na kupata majibu kama yamo kwenye forums nyingi zinazoongelea nokia, nahisi lazima utaona kitu Click to expand... Nilijaribu sema wanaeleza jinsi ya KUrestore peke yake,Ila imeshapona nilipeleka kwa fundi
mbongopopo said: mie ningekushauri u google na kupata majibu kama yamo kwenye forums nyingi zinazoongelea nokia, nahisi lazima utaona kitu Click to expand... Nilijaribu sema wanaeleza jinsi ya KUrestore peke yake,Ila imeshapona nilipeleka kwa fundi
drphone JF-Expert Member Joined Sep 29, 2009 Posts 3,542 Reaction score 294 Jan 11, 2011 #6 Rural Swagga said: Asante kaka nilipeleka kwa fundi na sasa iko katika hali yake ya kawaida Click to expand... poa mkuu kwa fidback
Rural Swagga said: Asante kaka nilipeleka kwa fundi na sasa iko katika hali yake ya kawaida Click to expand... poa mkuu kwa fidback