TMAN8 Senior Member May 25, 2012 165 41 Jun 17, 2012 #1 Imetumika kwa wiki chache na iko katika hali nzuri kabisa almost new. Touchscreen na Qwerty keypad, iko na kila kitu chake mpaka box. Acha tumalizane kwa TSH 300,000 tu, 0774717033
Imetumika kwa wiki chache na iko katika hali nzuri kabisa almost new. Touchscreen na Qwerty keypad, iko na kila kitu chake mpaka box. Acha tumalizane kwa TSH 300,000 tu, 0774717033
muwaha JF-Expert Member May 13, 2009 740 148 Jun 18, 2012 #3 Nipatie namba ya m-pesa nilipe kabisa, then utanitumia kwa DHL, nitakupa anuani yangu.
TMAN8 Senior Member May 25, 2012 165 41 Jun 18, 2012 Thread starter #4 we muwasha si unipigie kama kweli uko serious