Nokia asha inauzwa.

Nokia asha inauzwa.

0909Hekima

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2013
Posts
226
Reaction score
66
Ipo ktk hali nzuri...nimeitumia miezi 6, bei ni 75,000 (negotiable) kwa alie tayari ani check 0783181838. Nitakuja ulipo kwa anaeishi Dsm.

Ahsante.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
hii sasa inaboa. Unauza mbuzi kwenye gunia?
Yaani umeshindwa kuweka picha tu mkubwa?
Sasa unadhani watu watanunua kitu wasichokijua? Sio wote wanajua kama wewe unayeitumia. Wengine bila picha bila bila.
 
Back
Top Bottom