Ipo ni poa,portable.
Nimejaribu ku upload image yake but natumia phone,so nafikir haikubali but unweza searc mwenyewe kama vp call me faster 0715812160
Mimi yangu nimeuza 50,000tuu! Kimeo hicho ntamfikiria mwenye e90 cz zimefanana bt e90 mashine ya ukweli! Kama 9300-50,000 kama 9300i-70,000! Cz thy are also used

yako ndio kimeo,yangu nafahamu nilivyo itunza na uwezo wake,na zimetofautiana kwani kuna yingine za buttons zimeandwika kifaransa nyingine kiingereza..
Wote nyie wezi tuuu... Simu za kuwachomolea watu mifukoni.. Toeni utapeli wenu hapa. Maduka yapo tutaenda, mmenipotezea muda wangu kusoma hili lithread lenu.. Alaaah.