NOKIA 8 software problem

juma p maharage

JF-Expert Member
Dec 17, 2016
548
1,000
Wakuu asalam
Pandisha kigoma shusha Tabora

Wajuvi wa simu nawaomba mnisaidie hii sim yng inashida ina waka inakaa inazima nimepelek kwa mafundi zaid ya wa 5 wote wamechemka ,hivi hizi Nokia bado awajaacha ule usumbufu wa zaman yan nimeinunua October mwaka jana mil plus leo ife hiv hiv , please mweny kujua anisaidie hii sim naipend sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Top Bottom