Pionaire
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 1,595
- 1,135
Ni simu ya nokia 5233 nyeusi kama mnavyoiona apo,ina miezi minne tu inauzwa "180000.TZ$" haina tatizo,ni touchscreen smartphone na ina apps za kumwaga tu,kila kitu kam internet,radio,mmry card kubwa tu,pia ina vitu vyake vyot kam USB cable,chaja,headphones,me naishi "DSM",so kama kuna mtu yeyote atahitaji anicheki kwenye hii namba yangu "0712269097" alafu tuwasiliane jinsi ya kuipata.