NOKIA 2.1 ujio mpya

kidadari

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
8,646
Reaction score
9,619
Nimevutiwa sana na ujio wa NOKIA hasa specification zake pamoja na bei yake ambapo ina range 250k-270k!
Betri 4100 mAh
Kwa kua sijatumia ya Nokia smartphone naomba wenye uzoefu nazo wanishauri.Nimependa Nokia 2.1
 
Weka picha ya sim hayo yann kama muundo wa sim yenyewe wa hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…