Plan Radeem King
Senior Member
- Mar 25, 2018
- 198
- 127
- Thread starter
-
- #21
Nifanye ili nijue kuwa ilikuwa modified?Njia ambayo ina Make sense ni kuflash na kuanza upya, sema huwezi jua kwanini walii modify unaweza kuflash na kusababisha tatizo kubwa zaidi.
Ili utoe root kisahihi inabidi ujue wamei root vipi kwanza. Simu nyengine unakuta rom nzima iliokuwa flashed Ni pre rooted.Brother mkwawa mi natumia samsung j7 pro niliinunua ikiwa ipo rooted sasa naondoa root ila mpk sasa inanigomea
Nimetumia kingroot na supersu ila bado
Naomba msaada wako
Hakuna njia common mkuu Ni try and error tu, jaribu kwenda play store na udownload root checker appNifanye ili nijue kuwa ilikuwa modified?
Hakuna njia common mkuu Ni try and error tu, jaribu kwenda play store na udownload root checker app
Vp sie wenye tecno twaweza pata OS update kwl??
Sasa aliyeniuzia nishapotezana naye kitambo nitaijuajeIli utoe root kisahihi inabidi ujue wamei root vipi kwanza. Simu nyengine unakuta rom nzima iliokuwa flashed Ni pre rooted.
Mkuu kuflash always kunarudisha simu Kama ilivyokuwa.Sasa aliyeniuzia nishapotezana naye kitambo nitaijuaje
kurestore simu kawaida kwa kushikilia batani na kuflash simu kwenye computer je kuna utofautiMkuu kuflash always kunarudisha simu Kama ilivyokuwa.
Ndio Kuna utofauti, kurestore hakufuti system app yoyote.kurestore simu kawaida kwa kushikilia batani na kuflash simu kwenye computer je kuna utofauti
Vp sie wenye tecno twaweza pata OS update kwl??