Noises from New Maisha Club

Ila huko Kichangachui (kwa sisi wa zamani bado tunakuita hivyo huko Masaki) na Oysterbay kumefulia sana siku hizi. Juzi nimepita huko ikabidi nipunguze mwendo kuwasubiri ndama na mbuzi wakatize barabara. Yaani ni hovyo hovyo kabisa.

Watu wataruhusiwaje kufuga kwenye residential areas bana? It just doesn't make sense
 

mkuu ndio matunda ya kutokuwa na utawala unaozingatia sheria na kuendekeza rushwa.....kuna apartment ndefu ambazo ni kinyume na planning ya residential area kama hizo,bar,clubs na takataka zote.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…