Noises from New Maisha Club | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Noises from New Maisha Club

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by tulawaka, Aug 1, 2010.

 1. t

  tulawaka Member

  #1
  Aug 1, 2010
  Joined: Aug 1, 2010
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  I am just disturbed by the noises from new maisha club. I wonder if the owner is a human being at all. There was no consideration to the people living around the area. How hard was it to invest on the sound proof building. The terrible part is because the "vigogo" are behind her, the people around this neighbouhood are nothing. Complaints have been filed from grass root level of the government but nothing has been done, absolutely nothing. aaahh what a country!
   
 2. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,822
  Likes Received: 20,801
  Trophy Points: 280
  hivi maisha club si ndio iko pale KARIBU HOTEL[morogoro store]??kama ndio huko hio si ndio mitaa ya vigogo??kweli kazi ipo,kelele nilijua tunapata sisi wa mbagala tu...........
   
 3. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #3
  Aug 1, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Polenik mkuu inanikumbusha Bar one. Lakini anyways probably huo ndiyo utaratibu all over. Maana Kila kona hapo Dar ni kelele mtindo mmoja tena sehemu zingine 24hrs.
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Aug 1, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Yaani Dar ni hovyo kabisa. Watu wa planning and zoning kazi yao sijui nini maana sehemu za burudani hazikutakiwa kabisa ziwe katikati ya sehemu waishizo watu.

  Makelele ni masaa 24 kama ulivyosema. Sasa mtu kama una watoto wa shule na usiku wanatakiwa wapumzike vizuri ili kesho yake waende shule sijui watapumzikaje. Hii Tanzania yetu mambo ni shaghalabhaghala kabisa.
   
 5. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #5
  Aug 1, 2010
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Si mfanye maandamano!mmeshindwa kuji-organise hapo mtaani? kumbuka...u have to fight for ur right! Cha kwanza...hakikisha nyie ndo mko sahihi kisheria, pili tafuteni siku muombe kibali cha kufanya maandamano mkihakikisha mna media coverage nzuri!
   
 6. T

  Taso JF-Expert Member

  #6
  Aug 1, 2010
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,649
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 180
  i hope the noise reaches ex-PM Warioba's residence a few houses down the block of Haille Selasie, 'cos then they'll muzzle the place in quickness, unless of course he is in on it... Saudi Arabian mission is up the block too, can't afford to ruin party financiers' sleep...
   
 7. Monstgala

  Monstgala JF-Expert Member

  #7
  Aug 1, 2010
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,080
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 135
  Tusubiri serikali ya Japan itoe msaada wa kushughulikia hii kero..
   
 8. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #8
  Aug 1, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,182
  Trophy Points: 280
  From what I hear Oyster Bay is going to the dogs, kuna mpaka vigereji vya magari and shyt. I gotta see this, soon.

  Tatizo hatuna sheria kuhusu hili, kama zipo hazijulikani. Halafu tushazoea kunung'unika pembeni badala ya kuchukua hatua.

  Kwa mfano mleta mada Tulawaka zaidi ya kulalamikia unyama wa mwenye club hii, hajaeleza kama kawasiliana na uongozi na kueleza malalamiko yake, hajatueleza kama kawasiliana na watu wa serikali za mitaa, jiji, mbunge wake etc. Maana huko ndiko unaweza kupata usuluhishi, ushauri, kujua sheria, kuangalia masharti ya kibali cha biashara kama hizi na kama yamevunjwa etc.
   
 9. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #9
  Aug 1, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,182
  Trophy Points: 280
  Hili ndilo tatizo letu, badala ya kufikiria kutatua tatizo kiujumla kwa sheria na elimu kwa watu, sisi tunaangalia jambo moja moja. Unabaki ku hope Warioba atasikia kelele, kama Warioba ana hisa hapo je? Hili ni tatizo mbalo liko sehemu nyingi tu, sehemu nyingine huko hazina hata Warioba wala mission. Huwezi kutegemea kila sehemu iwe na Warioba.

  Typical of our myopic solutions, we revolve around personalities, not policies.

  We revolve around zimamoto, not pre-emptive solutions.

  Hapa kinachotakiwa ni sheria na elimu kwa watu.
   
 10. T

  Taso JF-Expert Member

  #10
  Aug 1, 2010
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,649
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 180
  correct diagnosis, and help of absentee critics can only go so far
   
 11. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #11
  Aug 1, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,822
  Likes Received: 20,801
  Trophy Points: 280
  amesema wamewasilisha malalamiko yao serikalini lkn hakuna hatua zilizochukuliwa kwa sababu kuna kigogo anamlinda mmiliki wa hii club........
   
 12. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #12
  Aug 1, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,182
  Trophy Points: 280
  My bad Tulawaka, I missed that part.

  Hapo sasa ndipo inabidi kuingia katika extra curricula activities na maandamano kama alivyosema mdau hapo juu. Some great movements rose from spontaneous grievances like these, unakamata reporters kadhaa, cameras kadhaa mnam shame owner pamoja na hizo ngazi za serikali mlizopitia.

  Hapa watu wengine walio na tatizo kama hilo wanaweza hata kuwaunga mkono na kikaanzishwa ki movement.

  Of course unaweza kukuta owner ni mtu maarufu na anajuana na watu wa media na hawataki kuandika/ kuonyesha habari hii. In which case unatafuta plan C.

  But I should think kutakuwa na watu wa media wanaotafuta story kama hizi tu.

  Je kuna mtu anaweza kulivalia njuga hili kihivyo?
   
 13. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #13
  Aug 1, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,182
  Trophy Points: 280
  Mtu aliyepo Oysterbay physically lakini hajui hili swala anaweza kuwa absentee zaidi katika hili kuliko mtu aliyeko half a world away anayefuatilia.

  The world is a village, it is all about information, acha kuishi kwenye stone age na kufikiri kwamba to make a difference you have to be constrained by physical location.

  Watu wanafanya kazi za Marekani kutoka India, wanarusha midege kutoka kwenye computer, wewe kalaghabaho na "absentee critic".

  Absentee is a logical concept not limited by location.
   
 14. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #14
  Aug 1, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,822
  Likes Received: 20,801
  Trophy Points: 280
  mimi naamini wakiungana wanaweza kufunga hio club au kumlazimisha owner aweke sound proof......LADY JD alikuwa anapigia kelele watu pale ZHONG....walimtoa sasa hivi yuko mzalendo.....vilevile BAR ONE walikuwa na kesi na wakazi nafikiri nayo ilifungwa[not sure].....mkiamua hakuna kinachoshindikana kwanza % ya hizo bar/club/groceries ziko sehemu zisizostahili kuwepo,hio ndio sababu mnatakiwa muanze nayo.
   
 15. T

  Taso JF-Expert Member

  #15
  Aug 1, 2010
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,649
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 180
  they can't enforce anti-noise laws if they don't experience the noise. Power class hardly acts when they don't bear the brunt of the ills on your side of the tracks. They will tell you to install sound proof, eat cake.
   
 16. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #16
  Aug 2, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145


  -Mipangomiji wanafanya kazi yao mapema na ndani ya muda.... tatizo ni serikali kuhakikisha upimaji na matumizi sahihi ya eneo husika kwa mujibu wa mchoro wa mipango miji... mtu ajiwekea fremu ya duka mbele ya nyumba... grocery mbele ya duka.. bar na kumbi za maharusi ndo usiseme..nyumba za makazi zageuzwa hoteli na gesti... HOVYOOOOO!!!!

  -Mfano..michoro ya satellite citie za Kibamba, Magomeni na Tegeta zishaachorwa kitambo... hela inakuja inagharamia mambo mengine!!Wizi tu.

  -Kinachoweka wengi Dara ni mzunguko mkubwa wa hela na kasumba kuwa ukiwa Dar utatoka kimaisha...inaishia kuwa ndoto.. uzee ukifika wengi wao wanarejea shamba!!
   
 17. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #17
  Aug 2, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Mkuu, hawahitaji kibali..........waingie street tu. Mbona wale wananchi wanaotaka matuta huwa wanaingia street bila kibali?
   
 18. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #18
  Aug 2, 2010
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wewe nenda kaandamane bila kibali udhani FFU watakuchekea!
   
 19. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #19
  Aug 2, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,182
  Trophy Points: 280
  Tatizo ndilo hilo, unategemea "power class", whatever that is.
   
 20. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #20
  Aug 2, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,822
  Likes Received: 20,801
  Trophy Points: 280
  angalia wenzenu wa masaki wameungana hadi wametoa kero ya baa bubu hizo mbele ya nyumba zao.....

  MICHUZI
   
Loading...