Mwanzi1
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 5,999
- 4,591
Kuna watu wanapenda kujifurahisha na keyboard, uhalifu unaofanywa Kenya in the broad daylight wao hawauni. Mbona Al Shaaab walichukuwa mall nzima for two days na mpaka leo hii hawajampata hata mmoja wao, the guys escape mchana kweupee. Huku watu bado tuko huru, watu wakubwa kama kina Mo they feel safe enough kutembea peke yao.Acha kelele, Tom Mboya alipigwa risasi mchana hapo Nairobi, hadi leo bado waliomuua hawajulikani. Waliomteka MO ni wazungu, hii inapnyesha hili tukio limepangwa kitaalamu Sana linahitaji muda na ikiwezekana kupata msaada toka nje ya nchi/interpol, kama ambavyo Turkey inavyoomba msaada kuchunguza kupotea kwa journalist wa Saudia.
Point ni kwamba, kitendo cha mtu tajiri kama huyu kutokua na walinzi kwa zaidi ya miaka ishirini na hajawahi kuguswa hata kuibiwa simu, ukiwa kama mkenya nchi ambayo inatumia mabilioni ya pesa za wananchi kuwalinda MCAs, unajifinza kitu gani?
! There’s no cctv or hotel footage!. Maajabu!