Nobel Peace Prize 2012!

Nobel Peace Prize 2012!

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
4,596
Reaction score
1,236
Mshindi atajulikana leo hii mnamo saa saba kwa saa za Afrika Mashariki. Kaa mkao wa kula!
 
Nyie mnawinda NOBEL; mkweree anaiwinda kwa udi na uvumba ile ya MO IBRAHIM!! Jinsi alinavyohujumu uchumi wetu kwa kutuibia maliasili yetu yeye na mafisadi wenzie anaowalinda, hiyo tuzo itabakia kuwa ndoto tu!! Kumbuka na Salim Ahmed Salim ni dingi kule na jinsi walivyomuhujumu 2005!!!
 
Tetesi zinaashiria EU labda ndio itaibuka mshindi. Kama ndio hivyo basi hii tuzo itazidi kukosa mashiko!
 
Yap, ni European Union ambayo imepata Nobel Peace Prize. Hamna jipya!

978x.jpg
 
Yap, ni European Union ambayo imepata Nobel Peace Prize. Hamna jipya!

978x.jpg

Inaelekea hujapendezwa na matokeo, je ulitegemea Vasco Dagama atapata? Yeye angojee zawadi kutoka kwa wanamtandao wake atakapong'oka!!
 
heko kwa EU,bila wao hatuwezi huduma zote wao ndo wafadhili
 
Sasa hapa ni nani aliyefyatuka? Acha hizo za uhayawani. Heshima ni kitu cha bure!

Kweli heshima ni kitu cha bure! Anayejiheshimu pia ataheshimiwa, lakini ukifanya mambo ya kihayawani shulti uitwe unavyostahili HAYAWANI!!!!
 
Back
Top Bottom