Hamna kitu ni laini hatari mabati yake ni kama ya kopo la reblueVp salama wakuu.
Kuna mtu flan anataka kuniuzia Voxy 2006 kwa 7mil,
Me siyo mtaalam sana wa magari,so naomba wenye uelewa wanipe elimu kidogo kuhusu Voxy.
Matumizi yangu ni kubeba abiria na njia ni rough road na mahali pengine ni lami.
Sasa naomba kufahamu uimara wa hii gari na changamoto zake.
Huko kweli tena kunahitaji gari za petrol zaidi maana kupanda nako mtihani, Moshi / Marangu kumenoga sana kwakweli.Barabara yetu ni full mkeka tarakea -moshi
Kwa barabara ya vumbi anunue gari za kazi e. g. Tata.
Nimekutag kaka najua mambo Yako hayaSema Voxy kubebea abiria uwongo. Tena rough road uwongo zaidi. Imekaa kilaini sana.