Zote no gari ambazo ni multipurpose iwe shamba au mambo ya kifamilia au kwenye kiti kirefu au kusambaza mzigo zinafaa tu, na zote zina space ya kutosha japo noah imezidi kidogo na pia iko juu kidogo kwa maana ya ground clearance so kama unatumia kwenye lami tu na huitaji space basi noah si lazima ila kama shuguri zako zina husisha barabara za vumbi basi nashauri noah. Pia zote ni gari ambazo zimemlega muhangaikaji Mwenye kipato cha kawaida tu na spare zake zinapatikana kirahisi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.