Noah kali inauzwa

Halafu siku alipata mchumba sijui itakuwaje

Noma sana, mm nipo makini sana na picha zangu, unless mtu anipige kwa bahati mbaya nisijue....siku hizi watu hawachelewi kusambaza mitandaoni picha yako ww ni jambazi...kisa labda mna ugomvi binafsi tu au mnadaiana!
 
Vijana wa kileo wanaona sifa ila hawaangalii madhara ya kujibandika ovyo kwenye social media.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…