Noah inauzwa.

Noah inauzwa.

Asulo

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2012
Posts
719
Reaction score
252
Nauza gari aina ya Noah ipo kwenye hali nzuri, namba ni T___ BZ_..
Specification zake ni hizi..
Make : Toyota
Model: Noah
Colour: Silver
Yeah: 2001
CC: 1998
Odometer: 112,000

Price ni 8m...

Samahani kwa kutoweka picha maana nimeshindwa kuzi upload.. ila nitatuma kwa what'sapp kwa yeyote ailye interested.

Aliye serious tuwasiliane kwa 0755925622.
 
Wazee karibuni, japo sipo Dar ila gari inaweza kufika kama tutaelewana...maana wengi wanapiga simu ila nikiwaambia kuwa sipo Dar wanakata tamaa..
Karibuni, gari bado ipo.
 
Kama haupo Dar ni nguma ,maana watu wanataka waione waje na fundi waikague.
Mtu makini hanunui gari kwa kuiona,mie binafsi sinakumbukumbu ya kununua Gari bila kumpa 50,000 fundi ili aikague kila ktiu na kunipa ushauri.Nashkuru mungi sijawahi kupigwa kimeo.
Bei ni Rahisi,angalau weka Picha,Tanzania ndogo sana,mtu anaweza kuja mwenyewe kuikagua
 
Mkuu picha nimeshindwa kuziupload hapa ila nakutumia kwa what'sapp ukitaka kuiona.
Ila ukweli ni kwamba haina tatizo lolote la kiufundi.
Ni shida ya pesa tu ndiyo maana naiuza bei hiyo.
 
Khaa! Mambo gani kupandishana midadi? Me nikafikiri umeongea kitafsida kwa kumaanisha yule mnyama.
 
Khaa! Mambo gani kupandishana midadi? Me nikafikiri umeongea kitafsida kwa kumaanisha yule mnyama.

Mkuu namaanisha gari aina ya Toyota Noah si vingine kama ufikirivyo.
 
picha please

The Boss nimeshindwa ku upload picha..naomba namba yako ili nikutumie kwa what'sapp ili unisaidie kuzi attach hapa.
Nitashukuru kwa hilo.
 
Nauza gari aina ya Noah ipo kwenye hali nzuri, namba ni T___ BZ_..
Specification zake ni hizi..
Make : Toyota
Model: Noah
Colour: Silver
Yeah: 2001
CC: 1998
Odometer: 112,000

Price ni 8m...

Samahani kwa kutoweka picha maana nimeshindwa kuzi upload.. ila nitatuma kwa what'sapp kwa yeyote ailye interested.

Aliye serious tuwasiliane kwa ImageUploadedByJamiiForums1407911007.201270.jpg ImageUploadedByJamiiForums1407911035.904385.jpg ImageUploadedByJamiiForums1407911066.752758.jpg 0755925622.

ImageUploadedByJamiiForums1407910973.918050.jpg
 
Wadau picha ndo hizo.. msamaria mwema katoa msaada.
 
Asante kwa Picha mkuu
Ila kuwa muungwana.Hii gari itakuwa ilipata ajali.ndio au sio?
Maana nyumba imebonyea na ubavuni pia imebonyea.

Hembu funguka kama umeokoka vile.

Lengo ni kujua hapa Value for Money.
 
Mkuu hii gari haijapata ajali kama unavyohisi..
hapo ubavuni pembeni kuna dogo alikwaruza kwenye kisiki kidogo ila haijapata ajali mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom