akili akili
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 1,767
- 1,157
Milioni 5 hutoi mzigo.?
Ngoja mshahara utoke tuone....
Ngoja mshahara utoke tuone....
NIpe kwa 5.7 niko very serious, iko okay? Naweza kutuma mtu aione? Vibali vimelipiwa hadi lini? Insurance ikoje? Ilikua inafanya kazi gani kabla? Kama hio bei inakulipa njoo PM tumalize faster leo leo Masterkey
acha fix wewe kwa ajila ipi uliyonayo upate mshahara wa amount hiyo kwa mwezi?
acha dharau wewe, kama anataka kujazia.?
Toyota Noah inauzwa:
BEI SH 7.5m
Mawasiliano 0716952515
Gari ipo morogoro
View attachment 259411View attachment 259412View attachment 259416
Mimi nna mteja hapo hapo Yuko moro ngoja nkupigie sm tuchonge zaidi
Bado ipo wakuu....
Ina shida yoyote ya kiufundi? Inavutia sana
UPDATE:
Gari ipo Dar kwa sasa, kwa wale waliokuwa wanoana Moro ni mbali kazi kwenu. Gari ipo available.
Acha fix wewe kwa ajila ipi uliyonayo upate mshahara wa amount hiyo kwa mwezi?
UPDATE:
Gari ipo Dar kwa sasa, kwa wale waliokuwa wanoana Moro ni mbali kazi kwenu. Gari ipo available.